Uwepo wa lishe shuleni ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchochea kupanda kwa taaaluma katika shule za msingi na sekondari zilizoko Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameutaka uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera, TRA yakusanya bil 92/- miezi sita Kagera, Meneja wa TRA Mkoa wa Kagera, ...
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imesema siku ya Alhamisi, Februari 13, kwamba inajaribu kutafuta waliko karibu watu 50,000, wengi wao wakiwa wanajeshi, ambao wametoweka wakati wa mzozo ...
Wiki moja baada ya kuanza kwa mashambulizi ya M23, yakiungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, dhidi ya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC, vilabu vitatu vikubwa vya ...
Huko Bangkok, wanandoa wanasherehekea kwa furaha huku wakishikilia vyeti vya ndoa walivyovisubiri kwa miaka mingi. Kwa sasa, wanandoa wa jinsia moja wana haki sawa na wenzao wa kisheria katika ...
Vita vya Kwanza na vya Pili vya Kongo (1996-2003): Nchi jirani ziliingilia kati mzozo wa DRC, na kuunda mtandao tata wa ushirikiano na ushindani. Makundi yenye Silaha: Makundi kama vile CNDP ...
Kinachoshangaza,Tanzania ni moja ya nchi zenye makocha wengi wenye vyeti vya juu vya CAF. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya juhudi kubwa kusomesha makocha ikiwa ni sehemu ya mkakati wa ...
Msimamizi wa Kituo cha Mtwara, Majaliwa Mkalawa akifafanua namna mafunzo yanavyoendeshwa kwa walimu Akizungumzia motisha kwa walimu wa masomo hayo waliopata mafunzo watapokea vyeti vya kutambua ...
Anaiomba mahakama itoe amri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na CGI kutaifisha mara moja vyeti vya uraia walivyopewa wachezaji hao na kuwaamuru kusalimisha vyeti hivyo kwa msajili wa mahakama wakati ...