Waziri wa Afya, Nassor Ahmed Mazrui amesema matumizi ya vyombo vya plastiki yana madhara ya kiafya katika mwili wa binadamu ...
HISTORIA imeandikwa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ... Uchaguzi huo uliohusisha nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Tanzania Zanzibar, ulianza juzi Januari 21 na kukesha ...
Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ... Wote watawachagua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Zanzibar.
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa Tanzania tuko katika mkwamo wa safari ya kuandika Katiba mpya na ukichunguza sana utabaini ...
Halikadhalika Rais huyo wa Zanzibar amevikaribisha Vyuo Vikuu vya Romania kuja nchini kuangalia maeneo ya ushirikiano na Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA). Vilevile ametumia fursa hiyo kuwakaribisha ...
Chanzo cha mgogoro: maelekezo ya usalama wa ndani yaliyotumwa kwa wafanyakazi ambayo yalivujishwa kwenye mitandao ya kijamii, yakiwataka kuweka akiba ya chakula cha wiki mbili, maji, mafuta ya ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Said Kiondo Athumani aliyemteuwa hivi Karibuni. Hafla ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limekaribisha mchango wa Shilingi za Uganda bilioni 2.5 (sawa na Dola za Marekani 680,000) kutoka kwa Serikali ya Uganda ili kusaidia ...