Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Japani amesisitiza kwenye mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Kundi la Nchi Saba ...
Tume ya Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Binadamu imesema viongozi wa Sudan Kusini wanahatarisha kurejea kwa mzozo ulioenea na ...
Rais Donald Trump wa Marekani leo atamkaribisha Ikulu mjini Washington Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kwa mazungumzo ...
"Huwezi kulaazimisha amani kutoka juu au nje kwa watu wasiotaka amani. Wahusika wengi ndani ya Kongo wana agenda zilizojificha," Trefon aliiambia Reuters kutoka mjini Brussels. Kwa upande mwingine ...