MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera, TRA yakusanya bil 92/- miezi sita Kagera, Meneja wa TRA Mkoa wa Kagera, ...
Wiki moja baada ya kuanza kwa mashambulizi ya M23, yakiungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, dhidi ya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC, vilabu vitatu vikubwa vya ...
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, alitoa pongezi kwa kumbukumbu ya "mwanasiasa aliyejitolea ambaye alifanya kazi maishani mwake kwa ulimwengu wa ...
Mgogoro wa Sudan unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa" na sasa vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye ...
Huko Bangkok, wanandoa wanasherehekea kwa furaha huku wakishikilia vyeti vya ndoa walivyovisubiri kwa miaka mingi. Kwa sasa, wanandoa wa jinsia moja wana haki sawa na wenzao wa kisheria katika ...
Hatua hiyo inakuja baada ya kupita kwenye maeneo tofauti kutoa elimu ya msaada wa kisheria na kubaini asilimia kubwa ya watu ikiwemo vijana na wazee hawana vyeti vya ndoa bali wanaishi kwa mazoea na ...
Unguja. Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla amewataka mawakili wapya waliopatiwa vyeti vya uwakili kuzingatia uadilifu na weledi kama inavyotaka sheria namba moja ya mwaka 2020 ili ...
Dar es Salaam. Kupata au kutopata vyeti kwa wanafunzi 54 wa Tanzania waliomaliza masomo yao nchini Sudan mwaka 2022, imebaki kuwa sintofahamu. Wanafunzi hao ni wale waliokimbia vita vya wenyewe kwa ...
Akonaay ameongeza kuwa kwa mwaka huu 2025, Taasisi ya Top Employers imetoa vyeti vya uKinara kwa taasisi mbalimbali katika nchi 124 duniani, ambazo kwa pamoja zina athari chanya kwenye maisha ya zaidi ...
Wakati wa harakati za kusaka huduma hiyo, wanawake wamekuwa wakitoa simulizi mbalimbali kuhusu majanga yanayowakabili kama baadhi yao kupoteza maisha kwa kushambuliwa na wanyama wakali na wengine ...
Kinachoshangaza,Tanzania ni moja ya nchi zenye makocha wengi wenye vyeti vya juu vya CAF. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya juhudi kubwa kusomesha makocha ikiwa ni sehemu ya mkakati wa ...
Emmanuel Mtewele ndio majina yake halisi yanayopatikana katika vyeti vya kuzaliwa, ila mashabiki wa ngumi za kulipwa nchini wanamtambua kama Emmanuel Mwakyembe ambaye ni mmoja kati ya madalali wa ...