Kocha wa makipa Yanga, Alaa Meskini ameuomba uongozi kuvunja mkataba na tayari umemkubalia. Dar es Salaam. Wakati hali ikiwa ...
Hiyo inamaanisha kwamba klabu ya Yanga ambayo ilimaliza katika nafsi ... hiyo ya Caf ni Azam Fc na KMC zitakazoshiriki katika kombe la Shirikisho. Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye ...
WAKATI hali ikiwa si shwari kwa kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra kutokana na kufungwa mabao mepesi hivi karibuni ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ya aina yake, huku wakiwa wametwaa kombe hilo mara tatu mfululizo. Baada ya ubingwa unaoongeza historia ya ...
Msimu uliopita, Simba na Yanga zilitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani za ...
BAADA ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amekisifu kikosi chake, akisema sasa kimekuwa moto wa kuotea mbali, akikiri kuwa kimebadilika na kucheza lile so ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameipa klabu ya Simba ‘mtihani’ wa kuhakikisha inatwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho barani ...