Golangwa anachukua nafasi ya Benson Kigaila. Katika uchaguzi mkuu mwaka 2020 wakati Lissu akiwa mgombea urais, Golangwa alikuwa kampeni meneja wa Lissu. Mwenyekiti mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu ...
"Lakini bila kushirikishwa kwenye mikutano ya hadhara na hakukuwa na maelezo kwamba mjenzi anachukua eneo la shule kama sehemu ya gharama zake," alisema. Alipotafutwa na Nipashe kuzungumzia mvutano ...
“Serikali au benki inapokukuposha hasa fedha hizi ambazo hazina riba ni kuwasaidia wananchi wajiinue kiuchumi na kuanzia huku mtu anaweka rekodi nzuri hata ya kukopesheka katika mikopo mikubwa zaidi,” ...
Shri Manish Raj Gupta amechukua jukumu la Mkurugenzi (Ufundi, Miradi na Malighafi) wa Steel Authority of India Limited tarehe 13 Januari, 2025. Mtaalamu aliyekamilika na uzoefu wa zaidi ya miongo ...
Luteni Jenerali Gomes anachukua nafasi ya Kaimu Kamanda wa kikosi cha MONUSCO, Meja Jenerali Khar Diouf wa Senegal, ambaye Katibu Mkuu ameshukuru kwa utumishi wake wa kujitolea. Akizungumza na Idhaa ...
RIYADH, SAUDI ARABIA: KLABU za soka za Saudi Arabia zimepanga kutumia zaidi ya Pauni 1 bilioni kuhakikisha zinamnasa Vinicius Jr akakipiga huko, imeripotiwa. Supastaa huyo wa Real Madrid anaweza ...
Merz anataka kuwepo na udhibiti mkali wa mipakani na polisi ipewe nguvu zaidi, ishara kuwa anaweka uhamiaji kuwa kipaumbele kwenye kampeni zake katika jitihada za kupambana na chama cha siasa kali ...
Ni Wasira! Kweli akawa Wasira. Wasira, 79, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Kanali mstaafu, Abdulrahman Kinana, 73, aliyeomba kujiuzulu, kisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan akaridhia ...
From these tiny fragments we can glean tidbits of information about our planet's interior. A diamond unearthed in a diamond mine in Botswana is just such a stone. It's riddled with flaws containing ...
Dk Magembe anachukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu, ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya uteuzi huo, Dk Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za ...
Essar Energy Transition imetia saini mkataba wa Uhandisi, Ununuzi, na Ujenzi (EPC) na kampuni ya kimataifa ya uhandisi na ujenzi ENKA Inaat ve Sanayi AS ili kuwasilisha kiwanda cha kuzalisha hidrojeni ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results