Anaeneza habari kuhusu kifaa alichovumbua kinachoweza kutatua tatizo la kuharibika chakula Afrika. Chakula kinachoharibiwa kila mwaka kinaweza kuwalisha watu milioni 300 kulingana na umoja wa mataifa.
Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2020 imezawadiwa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani World Food Programme . Kamati ya tuzo hiyo nchini Norway ilisema kwamba WFP ...