Nchini Japani, elimu ya lazima huanza mtoto anapofikisha umri wa miaka sita. Watoto wenye uraia wa kigeni wanaweza ...
Black Hawk Down', ni jina la filamu ya Hollywood, limekuwa neno maarufu kwa maafa ya kijeshi ya 1993 nchini Somalia.
Matukio ya wizi wa ng’ombe yalishamiri mwaka 2023/2024 lakini Jeshi la Polisi lilifanya msako na kuwakamata wahusika wa ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda na aliyewahi kuwa mgombea wa urais Kizza Besigye ameanza kususia chakula kulingana na taarifa ya mawakili wake. Besigye amekuwa akizuiliwa kwa kipindi cha ...
BADO tunaendelea kutafakari mitihani ya kuhitimu kidato cha nne, inayofanyika Novemba mwaka jana na matokeo yake kutangazwa mwezi uliopita na Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA), ambayo yanaf ...
Dodoma. Wanafunzi 21 wanaosoma kidato cha tano na sita Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission iliyopo wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma wamepelekwa hospitali kupata matibabu wakidhamiwa kula chakula ...
Kutokana na hali hiyo BBC World Service imezindua kipindi kwa lugha ya Kiarabu kupitia kipindi cha elimu kilichoshinda tuzo cha Dars - or Lesson. Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto ...
WAKULIMA wa Mazao ya Misitu, Mazao ya Chakula na Biashara, vikiwemo Vikundi vya Kijamii ... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kijiji cha Image, Felix Payovela, aliiomba benki hiyo kutoishia hapo, badala ...
kamati inaishauri serikali iendelee kuhakikisha kuna chakula cha kutosha ili kuzuia mfumko wa bei unaoweza kusababishwana ukosefu wa chakula. “Kufuatia ufanisi kwenye ukusanyaji wa mapato katika ...
Bradley Mtall has been living his best life in Dubai and this time he was supporting local talent. Bradley Mtall stepped out to support Arrow Bwoy during his show in Dubai. Photo: Bradley Mtall. Arrow ...
Seventh-day Adventist pastor Elizabeth Mokoro has cautioned Adventists against celebrating Valentine’s Day, dismissing it as a pagan tradition that believers should avoid. SDA Pastor Elizabeth Mokoro ...