WANASEMA ukiona cha nini wengine wanawaza watakipata line. Ndicho kilichotokea kwa Marcus Rashford ambaye alikuwa hapati ...
Rais wa Marekani Donald Trump amechukua hatua ya kwanza katika kile ambacho wengi wanakielezea kama vita vya kibiashara na baadhi ya washirika wakubwa wa kiuchumi nchini humo. Ingawa Rais Trump ...
Hizi ni muhimu kwa ladha ya bia, na kama chanzo cha chakula cha chachu, ambayo baadaye itachachusha bia kutengeneza pombe. Baada ya kukaushwa, huchomwa kwenye tanuru. Kadiri choma kinavyokuwa ...
“Wengi wanakula sana hawafanyi kazi na mazoezi kwa maana utatumia kile chakula ulichokula utakua vizuri, chakula cha wastani kitatumika mwilini, kile chakula kilichozidi kuhifadhiwa kwake ni kwa ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika ... mfuko wa fidia na kulipa shilingi milioni 10 za ...
Kitendo cha kupata namba kwenye kikosi hicho kinathibitisha uwezo mkubwa alionao na ukomavu anaoendelea kuupata kwenye ligi kubwa Uturuki na kuwa miongoni mwa nyota wa Kitanzania walioweka rekodi ya ...
Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 6, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa ...
tumeshukuru wamefuata miongozo ya nchi na kuheshimu tamaduni zetu za Kitanzania pasipo kukengeuka maadili,” amesema. Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho, Juventus Rubona, ...
cha asilimia sita kwa benki za kawaida katika robo ya kwanza ya mwaka 2025. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, anasema mtu anapofanya miamala ndani ya nchi, anatakiwa kutumia shilingi ...
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Dk. Kedmon Mapana, amewataka waandaaji wa matamasha nchini kutoishia tu kuimba na kusifu, bali pia kuangalia namna ya kusaidia wahitaji katika ...
“Lengo ilikuwa kutambua, kusherehekea na kuwezesha wanawake wa Kitanzania katika nafasi za uongozi na katika ... Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga ...