Makumbusho ya Kumbukumbu ya Amani ya Hiroshima imepokea idadi ya wageni ambayo imeweka ... Lakini aliongeza kuwa kuna ...
Rais wa Marekani ametangaza Jumatano, Februari 12, kwamba alikuwa na "mazungumzo ya muda mrefu na yenye tija" na mwenzake wa ...
Bahaa El Din Mahmoud anasema, makubaliano ya amani ni mtaji wa kisiasa mikononi mwa Misri katika kujadiliana na Trump kuhusu ...
Rais wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alikuwa na mazungumzo marefu kwa njia ya simu. Kwanza alizungumza kwa muda mrefu na Rais wa Urusi Vladimir Putin, ambapo walijadili juu ya kumaliza vita nch ...
Ujumbe unaojumuisha Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti umepokelewa Jumatano, Februari 12, huko Goma na Corneille Nangaa, ...
Besigye, aliyekuwa daktari wa kibinafsi wa Rais Yoweri Museveni, alikamatwa katika mazingira ya kutatanisha mwezi Novemba ...
Mawaziri wa Ulinzi pamoja na Wakuu wa Majeshi wa nchi zinazochangia wanajeshi katika operesheni za kivita ndani ya Jamhuri ya ...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema vita vya kuwania mji muhimu wa Goma, ambao M23 na wanajeshi wa Rwanda waliuteka wiki iliyopita, ...
Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC. wako mjini Harare, Zimbabwe kwenye mkutano wa kilele kuhusiana ...
Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha ...
Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine.