SERIKALI ya muungano wa kitaifa ya Afrika Kusini inakumbwa na mizozo kutokana na tofauti kati ya vyama tanzu vinavyounda ...
MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kusini mwa Kivu.
SERIKALI ya Marekani imetuma kundi la kwanza la wahamiaji katika kizuizi cha Guantanamo Bay baada ya Trump kutangaza ...
ZAIDI ya wafungwa 100 wa kike walibakwa na kisha kuchomwa moto wakiwa hai wakati wa hali ya machafuko baada ya wafungwa ...
IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala wa Trump.
KAMPUNI ya Bolt imezindua "Trusted Contacts" kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki.
MWIGIZAJI wa filamu Aunt Ezekiel, amesema ujio wa taulo za Comfy Mummy, zitakazomfanya kujiamini na kufanya shughuli zake ...
Bilionea Mohammed Dewji, ametangaza sarafu ya kwanza ya kidijitali Tanzania $TANZANIA, akilenga kuongeza wigo wa matumizi ya ...
Kwa upande wa Meneja Msaidizi wa Mgodi wa Mawe wa Ndolela (Ndolela Quarry) Hilter Ranjiti amesema tangu kuanzishwa kwa mgodi ...
MAREKANI : RAIS wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani itachukua udhibiti wa eneo la Gaza, ikiwa itafanikiwa ...
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Arumeru mkoani Arusha wamehimizwa kueleza mazuri yanayofanywa na chama hicho ...
MATAMSHI ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu pendekezo la Marekani kuchukua udhibiti wa Gaza yamekosolewa vikali na ...