Maelezo ya picha, Ray Moore aliagiza kwamba wapenzi wa jinsia moja wanyimwe vyeti vya ndoa, hata baada ya uamuzi wa kihistoria mwaka jana, uliohalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja. 1 Oktoba ...
Hata hivyo, maombi mengi ya vyeti vya ubikira bado yanatoka kwa wanaume na wanawake wanaopanga kufunga ndoa. Kwa hivyo, wanakimbilia kliniki za kibinafsi, kawaida huambatana na mama zao.