Sherehe ilianza kwa chakula cha jioni katika jumba la kifakhari lililojengwa kwa ajili ya hafla hiyo. Muundo wa jumba hilo unafanana na Palm House, lililoko Brooklyn Botanic Garden, Marekani.
Kamati ya Pamoja ya Bunge la Congress kuhusu sherehe za kuapishwa rais itaandaa chakula cha mchana ambacho rais atahudhuria. Kisha gwaride litaanza, kutoka majengo ya Bunge (Capitol) kupitia mtaa ...